Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na...
"NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu"
Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair...
Naomba mwenye kujua uendeshaji wa kilimo cha chikichi kwa heka moja kuanzia kupanda mpaka kuanza kuvuna kwa mbegu ya miaka 3/4.kiwango cha mafuta unachopata kwa heka kwa mwaka wa tatu, nne na...
Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna...
Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na...
Kwa miaka ambayo nimekuwepo hapa JF kama mwanachama, nimeelimika vilivyo, nimeburudika kiasi cha kutosha, nimefarijika na kufaidika na mengi kwa ujumla. Moyo wangu daima unajihisi kukosa fadhira...
Poleni na majukumu!
Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu.
Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya...
Habari wana MMU!!
Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita. Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na...
Nipo Dar, wapi nitapata mbegu za mizabibu? Nataka kupanda nyumbani kwangu as a garden. Kama naweza kupata kwako naomba unitafute. 0658103810.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeaza kujishulisha na ufugaji wakuku wa kienyeji toka mwaka jana
Nimekumbwa na tazizo la kuku wangu kuwa wana koroma na kukohoa
Naombeni mnisaidie ni tumie dawa gani kuwatibu hawa kuku wangu
Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga, matunda, maua, viungo na dawa.
Wataalam na wakulima tukutane hapa.
==============================================
Kwa kuanza niongelee...
Heshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam.
Naomba kuwasilisha.
Ni mtandao wa mashirika ,vikundi mwamvuli na makampuni yaliyoko kwenye sekta ya kilimo.Mtandao huu wa ANSAF ulianzishwa Tanzania mwaka 2006 kwa madhumuni makuu yafuatayo;
✓kufanya uchechemuzi kwa...
Mimi kama mkulima namkaribisha kwa furaha Mkuu wa Wilaya aliyechaguliwa hivi karibuni. Wenzake wote hilo tatizo limewashinda ama walizembea. We fikiria umelima mahindi na mihogo unataka kuvuna...
Moja kwa moja kwenye hoja; tunatotoresha mayai aina zote; kiwanda chetu cha utotoreshaji (incubators) ni cha kisasa kabisa; hatching ration ni 98% karibu. Tray moja ni sh 8,000 tu.
Pia tunauza...
Hivi majuzi wakati Mheshimiwa rais anawaapisha mawaziri wapya aligusia kidogo hali ya soko la kahawa na alitoa kauli kwamba Ushirika 'usilazimishe' kununua kahawa kama hauna uwezo huo. Akaenda...
Habari,, kama wewe ni mdau w Kilimo kwa namna moja au nyingine yaani kuanzia kwa mkulima mfanyabiashara wa mazao, pembejeo , Dawa ,Mbegu nk. Sasa unaweza kuwafikia Wateja na walengwa wako kupitia...