Fursa ya ufugaji wadudu

mbacho massawe

JF-Expert Member
Apr 24, 2016
235
213
Habari! Naomba kuuliza
Ni nani kati yenu amewahi kusikia fursa ya ufugaji wa Wadudu Mende kama chakula cha mifugo yani kuku
Mwenye uelewa wa hili swala naomba aeleze kwa mapana zaidi, kwa kuanzia
1 mtaji
2 mbegu
3 uzalishaji
4 uvunaji
5 changamoto
6 soko lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel kabisa wadudu kama mende na black soldiers n fursa kubwa lakn changamoto kubwa ni upokeaj wake yaan mob psychology hasa kwa africa
Wadudu hawa hutumika kama
Chakula kwa mifugo hasa hasa, mifugo ya kuku na samaki
Hawaitaji mtaji mkubwa sana kwani wanakula wastes yaan taka kama mabaki ya vyakula ambavyo huwez kununua utakusanya tu majumbani pia kwakuwa wadudu hawa wanapatikana kirahisi kwenye jamii zetu katika maficho yao unaweza wapata bila garama kwa ajili ya kuwafuga
Garama utakazokutana nazo ni za uzalishaj zikiwemo kutengeneza banda lao na baadh ya vifaa vya kuzalishia basi zaid ya hapo wewe ni kuwalisha tu

Masoko yake makubwa n kwenye viwanda vinavyo tengeneza vyakula vya mifugo hasa!

Bsf inaenda kuwa fursa kubwa sana mana wafugaji wengi wa mifugo wanahamia katika matumizi ya bsfl kutokana na bei kubwa ya vyakula vingine vya mifugo mfano soya.
 
Back
Top Bottom