mfungo utakuwa mwezi gani mwaka huu?acha wataalamu zaidi waje lakini yanalipa haswa ukiulenga mwezi wa mfungo wa Ramadhan , kwamba wakati huo wewe ndio uyafikishe sokoni
kivipi hayalipi?Sioni kama yanalipa, maana ni ya msimu. Lima ngogwe(nyanya chungu) na bamia...ni zinasoko sana halafu ni affordable.. Na ndoto hizo.. nimekuonjesha business plan yangu.
Rudia kusoma ndugu, nimetoa na sababu yangu ingawa haijashiba.kivipi hayalipi?
sijawahi lima maboga kibiashara ila ninaandaa kazi ya mwakani nitakayo tumia miche ya maboga kama rootstock ya matango, na matikiti kuepuka f.wilt.Rudia kusoma ndugu, nimetoa na sababu yangu ingawa haijashiba.
Oh ok nimekuelewa mkuu lakini kwamimi naona hapana maana si wengi wanaokula maboga ila unaweza fanya research ukaona soko lipoje. Na kama utalima yote ni sawa... Big upsijawahi lima maboga kibiashara ila ninaandaa kazi ya mwakani nitakayo tumia miche ya maboga kama rootstock ya matango, na matikiti kuepuka f.wilt.
kimsingi nilijua maboga na tango,tikiti ni familia moja na iwapo haya ya mwisho Unaweza kumwagilia na la awali unaweza kufanya hivyo kuepuka msimu.
Kipindi Cha mfungo ungeuza Sana, mazuri kwa kuchanganyia na futari.Nimeyapanda kama elfu 2..mwezi wa 7 naanza kuyatoa..soko tutajuana mbele ya safari