Unenepeshaji wa ng'ombe

Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
13,677
26,998
Habari za jioni wana JF, nimejaribu kusearch kama kuna mada yoyote humu ndani inazungumzia project ya unenepeshaji wa ng'ombe wa asili kisha kuwauza, ili nipitie maoni lakini hakuna popote.

Nakaribisha maoni ya watu mbalimbali wenye uzoefu na hii project, nimekuwa nikitamani sana kujihusisha na hii deal.
 
Ni biashara nzuri, navyojua unanunua wakati wa ukame unawapeleka sehemu yenye majani, wape huduma zote muhimu kuanzia maji, nyasi, matibabu na virutubisho.
 
Habari za jioni wana Jf, nimejaribu kusearch kama kuna mada yoyote humu ndani inazungumzia project ya unenepeshaji wa ng'ombe wa asili kisha kuwauza, ili nipitie maoni lakini hakuna popote.

Nakaribisha maoni ya watu mbalimbali wenye uzoefu na hii project, nimekuwa nikitamani sana kujihusisha na hii deal.
Unapatikana mkoa gani.? Hao ng'ombe unawatolea mkoa gani?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii swala humu lilikwisha zungumziw sena najaribu kuifikiria ule uzi wake ili niu quote hapa upate hayo maarifa. Lakini jaribu ku search tena kwa keywords tofauti utaupata
 
Mi naona ng'ombe wa kisasa ndio hukua fasta Sana kwa zero grazing.....hata hawana mambo mengi

Mfano huku mbeya huwezi kuona hawa wa kienyeji

Vitu vya kunenepesha fasta

Mashudu

Pumba za mahindi....mpunga

Vs madini
 
Back
Top Bottom