Salaam wanabodi wenzangu.
Naomba kujua mishahara ya watalaamu wa mifugo, hasa animal production kwa ngazi za cheti, diploma na degree. Hii mishahara iwe kwa scale za serikali ili nitumie kama reference. Kuna sehemu anatafutwa mdada wa taaluma hii, ila ni sector binafsi. Nimepewa kazi ya kumtafuta huyu mtalaam( awe binti).