Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Kijana wa miaka 32 Anatoli_Kiiza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji. Taarifa inasema Kiiza alikamatwa karibu mara saba kwa ajili ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Uganda imeahirisha uzinduzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ili kuomboleza kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli, ambaye alitoa mchango...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais mpya wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John Pombe Magufuli...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekituhumu chama cha siasa cha NUP kwa kuhusika na vitendo vya udaganyifu wa wizi wa kura katika zoezi la uchauzi mkuu uliofanyika tarehe 14...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
National Unity Platform (NUP) president Mr Robert Kyagulanyi alias Bobi Wine has been arrested as he led a peaceful demonstration demanding the release of hundreds of his supporters who are...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimethibitisha kuwakamata zaidi ya wafuasi 40 wa chama cha upinzani NUP kwa kushiriki maandamano ya amani yaliyotangazwa na kiongozi wao Robert Kyagulanyi siku ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi wine amewatolea mwito raia nchini Uganda kuandamana kwa amani na bila ya silaha kumpinga rais Yoweri Museveni aliyetawala taifa hilo kwa karibu miongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Waziri wa afya huko Uganda Ruth Aceng anasema wafanyakazi wa huduma za afya watakuwa wa kwanza kupatiwa chanjo wakifuatiwa na waalimu pamoja na makundi ya watu walio kwenye hatari ikiwemo wazee...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwako Rais, kwanza ya yote mimi ni shabiki wako ambae sasa nafikiria kukutupa. Nilikuwa napenda ulivyokuwa unaweka uso wako kabla hujachukizwa sana. Muhimu zaidi nikikumbuka bidii yako ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Museveni amevitaka vyombo vya usalama nchini Uganda kutoa taarifa za watu waliokamtwa tangu wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana zifahamike ili familia zao ziweze kujua walipo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chama cha National Unity Platform (NUP) kimesema kwamba takriban raia 243 wa Uganda hawajulikani walipo wala hakuna taarifa zozote zinazofahamika kuwahusu. Awali, spika wa Uganda Rebecca Kadaga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Facebook closure will not affect important things in Uganda- Museveni. President Museveni has said the limitation of access to Facebook will not affect the most important things from happening in...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Mamlaka ya Mapato Uganda imemtaka aliyekuwa mgombea wa upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, Bobi Wine, kurudisha gari lake jipya alilonunua ambalo...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwaka 1972 Idd alimtembelea Mzee Kenyata Kenya alipotua uwanja wa ndege,Idd alishuka na mwanae mdogo na baada ya Mzee Kenyata kumpa mkono kumsalimia dogo alipiga salute... Nani anajua wapo wapi...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Waziri wa Afya Nchini humo, Dkt. Jane Ruth Aceng amesema Rais Yoweri Museveni na watu wake wa karibu hawajapatiwa chanjo dhidi ya Virusi vya Corona Wizara ya Afya imetoa kauli hiyo ikakanusha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hussein Kashillingi, a lawyer on President Yoweri Museveni’s team that is handling the election petition has said that National Unity Platform’s president Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
National Unity Platform Principal Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine has withdrawn a petition challenging President Yoweri Museveni’s victory. Bobi Wine made the declaration during a...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa jeshi la UPDF Jenerali David Muhoozi ameomba msamaha kwa wandishi wa habari kufatia tukio la jana wakati poilisi wa jeshi la UPDF waliwatandika wandishi habari waliokuwa wakimsubiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ofisi ya UN nchini Uganda imesema Ofisi ya kamisheni ya haki za binadamu ilipata waraka huo kutoka kwa kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine na kwamba ofisi hiyo itaanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom