Uganda yapingana na zuio la Kenya kuhusu Mahindi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Wabunge wa Uganda wameeleza kupinga zuio dhidi ya uuzaji nje wa mahindi lililowekwa na nchi jirani ya Kenya kwa sababu za “kiusalama”.

Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga amemwagiza Waziri mkuu wa kiongozi wa biashara ya serikali Ruhakana Rugunda kutoa maelezo kwa bunge leo Jumatano kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na zuio la Kenya dhidi ya mahindi ya Uganda.

Wiki iliyopita Kenya ilitangaza marufuku dhidi ya uagizaji wa mahindi kutoka Uganda na Tanzania kwa madai kuwa hayafai kutumiwa na binadamu.
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.

Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda. Nomba msaada wa chuo chochote cha goverment course medical doctor matokeo yangu ya A LEVEL CHEM C BIOS C PHY S

Asante sanaa
 
Back
Top Bottom