Bei ya TVS Bajaj Uganda

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,592
5,481
Habari zenu mabibi na mabwana wa hapa jukwaa la Uganda, Napenda kujua gharama ya kununua TVS Bajaj kwa Uganda ni kiasi gani ?
 
kampala bajaji bei inaanza kwa 3.9M hadi 5M
Tv inategemea na aina pia na saizi kwa led bei inaanzia 500,000/=
 
Habari zenu mabibi na mabwana wa hapa jukwaa la Uganda,Napenda kujua gharama ya kununua tvs bajaj kwa uganda ni kiasi gani ?
🤣 🤣 🤣 🤣 mdau nadhani ulimaanisha pikipiki ya magurudumu matatu hapo kwenye kichwa cha habari. Bajaj na TVS ni kampuni 2 tofauti. Ila umeeleweka mdau. Walioko Uganda watakujibu
 
Back
Top Bottom