Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Polisi wa Uganda wamemkamata Mwanaume mmoja Barabara ya Kampala baada ya kukutwa akiichapa viboko sanamu akidai sanamu hiyo inafanana na Mtu ambae amehusika kuvuruga Uchaguzi wa Uganda na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nana angedhani kwamba ipo siku nchi ya Kenya ndio itakuwa hifadhi la wakimbizi wa kisiasa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki? Aliyekuwa mgombea ubunge jijini Kampala(Woman Mp Seat) na Research...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Internet was fully restored in Uganda on Wednesday almost a month after a near-total blackout was imposed across the country ahead of elections the opposition says were rigged. The restoration of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna taarifa zinadai Rais Museveni baa da kushinda na kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa awamu ya tano mfululizo inadaiwa kuwa viongozi wote wa afrika na duniani kwa ujumla wamemsusa na ni rais...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Former presidential candidate Robert Kyagulanyi, alias Bobi Wine, has said without the help of army and police, President Museveni cannot defeat him in a national election. The leader of the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Yoweri Museveni amesema Serikali imeamua kuruhusu Wanafunzi wa Darasa la 6, Kidato cha Tatu na Tano ambao wamebaki na mwaka mmoja kuhitimu masomi yao kurejea Shule kuanzia Machi 01, 2021...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Chama cha NUP kimesema maandalizi yote muhimu yamefanyika na leo wanatarajia kuwasilisha ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari 14 mwaka huu Robert Kyagulanyi (Bobi Wine)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo na IGP Martins Okoth Ochola, wameshindwa kueleza mahali waliokopelekwa watu waliochukuliwa na wanajeshi kipindi cha Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita. Huku upande wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezinduwa tiba ya majaribio ya kutibu virusi vya corona katika hospitali kuu ya taifa ya Mulago mjini Kampala kwa kutumia dawa asilia kutoka nchini humo. Majaribio...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Robert Amsterdam, the International lawyer and comrade to National Unity Platform (NUP) Presidential Flagbearer Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine, feels he has so much power around him...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Grandpa been sworn again, I bet he can remember the words just like Out Father prayer.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Foreign affairs minister Sam Kutesa Wednesday urged all stakeholders in last week’s presidential and parliamentary elections to move on following results announced by the Electoral Commission...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ugandan opposition leader Bobi Wine on Sunday urged the international community to demand he be released from "house arrest" after a disputed election returned President Yoweri Museveni to office...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Idadi kubwa ya mawaziri akiwemo makamu wa rais na wabunge wa mlengo wa serikali wamepoteza ubunge, Waganda wameamua, wamefanya aina ya maamuzi tuliyofanya zaidi ya miaka 20 iliyopita, ukombozi wa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya DW mchana wa leo, tayari salamu za pongezi kwa ushindi wa kishindo wa Museveni zimeanza kumiminika Uganda. Wakati salamu hizo zikienda huko, ugeni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ktk biblia imeandikwa kuwa zitiini mamlaka zilizowekwa ikiwa ni msisitizo kuwatii viongozi wote wa umma na jeshi kwa ujumla kwa maamzi yote yanayoamriwa. Mambo yalianza kuwa tofauti kwa mfalme...
12 Reactions
65 Replies
10K Views
Tume ya Uchaguzi (EC) imemtangaza Yoweri Museveni (76) aliyeongoza Taifa hilo tangu mwaka 1986 kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari 14, 2021 Tume imesema...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema...
15 Reactions
261 Replies
30K Views
Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom