Kijana wa miaka 32 Anatoli Kizza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,483
2,000
Kijana wa miaka 32 Anatoli_Kiiza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji.

Taarifa inasema Kiiza alikamatwa karibu mara saba kwa ajili ya madai hayo ya kutaka kujaribu kombora.

Nini maoni yako

FB_IMG_1616594425993.jpg

=====

Man Makes Missile Calls M7 To Launch​

Posted on January 30, 2017 by BUSTED

A 30 year old man in Hoima district has made a second attempt at making a missile.
Anatoli kizza, a resident of kiryangobe village in Kitoba Sub-country says he has upgraded his missile and wants President yoweri Museveni to launch it.

Kizza first made a missile in 2012 but he was arrested by police as he planned to test it on Lake Albert.
a-30-year-old-anatoli-kiiza-showing-the-purported-missile-he-invented-1
He was however released without any charge. “I researched on the internet on how missiles are made in USA, China and Northern Korea. That is how I was able to come up with my own, which I have named SAM missile,” Kizza said.

He noted that he has invested over Shs10m in his project adding that the missile can fly for over 450 miles. Kiiza wants government to hire experts in atomic materials to test his product before dismissing it.
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,383
2,000
Wanadamu tuna shida sana..,. tungewekeza akili zetu kupambana na mazingira na kutengeneza mazingira bora kwa binadamu wote badala ya kutunguana tunekuwa tumefika mbali sana...
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,560
2,000
Kijana wa miaka 32 Anatoli_Kiiza anaiomba kwa mara nyengine serikali yao ya Uganda kujaribu kombora lake alilotengeneza kienyeji.

Taarifa inasema Kiiza alikamatwa karibu mara saba kwa ajili ya madai hayo ya kutaka kujaribu kombora.

Nini maoni yako

View attachment 1733390

=====

Man Makes Missile Calls M7 To Launch​

Posted on January 30, 2017 by BUSTED

A 30 year old man in Hoima district has made a second attempt at making a missile.
Anatoli kizza, a resident of kiryangobe village in Kitoba Sub-country says he has upgraded his missile and wants President yoweri Museveni to launch it.

Kizza first made a missile in 2012 but he was arrested by police as he planned to test it on Lake Albert.
a-30-year-old-anatoli-kiiza-showing-the-purported-missile-he-invented-1
He was however released without any charge. “I researched on the internet on how missiles are made in USA, China and Northern Korea. That is how I was able to come up with my own, which I have named SAM missile,” Kizza said.

He noted that he has invested over Shs10m in his project adding that the missile can fly for over 450 miles. Kiiza wants government to hire experts in atomic materials to test his product before dismissing it.
M7 hawezi kubali anaona nitishio kwa utawala wake kwamba ngoma ikichomoka hapo inatua ikulu,tena jina la jamaa ni Kiiza-kumbuka kuna yule mwingine mpinzani wake anaitwa Kiiza Bezige
 
Ugobha

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
644
1,000
Aangalie pa kulielekeza coz najua kalitengeneza kwa gadhabu,
huku ng'ambo hatutaki misiba mingine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom