Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,498
- 9,279
Uganda imeahirisha uzinduzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ili kuomboleza kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli, ambaye alitoa mchango mkubwa katika mchakato wa mradi huo.
Mamlaka ya Petroli ya Uganda (PAU) jana ilitoa taarifa ikisema kuwa uzinduzi huo umeahirishwa hadi mwezi ujao.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo imesema, uongozi mahiri wa hayati Rais Magufuli uliweka msingi thabiti kwa mradi huo, ikiwemo makubaliano kati ya serikali ya nchi hizo mbili yaliyofikiwa mwaka 2017 na makubaliano ya Serikali ya Tanzania katika mwaka jana.