Msaaada.. Jinsi ya kutumia hiki Kifaa cha tanesco

Msaaada.. Jinsi ya kutumia hiki Kifaa cha tanesco

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,111
Wadau nisaidieni.. Nishanunua luku ila kuingiza ndio tatizo..
 
1478364776298.jpg
 
mi nahisi ni lugha tu ndio imekushinda, , , basi angalia maeneo ya katikati mwa hiyo karatasi kuna tarakimu(namba) nyingi, hizo ndio uziandike kwenye hicho kifaa kwa kubonyeza namba husika kisha ukimaliza bonyeza enter (hicho kitufe chenye mshale umepindia kushoto)
 
Dunia ina mambo yani uweze kupost jf halafu ushindwe kutumia hako ka remote? plug kwenye socket hata kama hakuna umeme ww chomeka na hakikisha socket iko on main switch na breaker yake viwe on vyote anza kuingiza hizi token ulizopewa na seller ukimaliza bonyeza hicho kimshale kilichojikunja chini ya number 0
 
Mkuu ulifanikiwa
Nimefanikiwa baada ya kuweka tokens za mwanzo walizonipa... Zipo za Aina Tatu.. Nimeweka zote halafu nikaweka nilizonunua... Ndio ikakubali.. Mtu anapo Omba msaada asibezwe.. Kutokuelewa swali la mtu isikufanye utoe majibu ya kipuuzi..
 
Back
Top Bottom