mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari za mchana wadau nilijaribu kudownload nyimbo za video kwenye simu yangu kupitia app vidmate baada ya hapo nikachomeka otg cable yangu na kuchomeka flash nikaziamishia humo baada ya hapo nikachomoa nikachomeka kwenye deck ili ziziangalie kupitia video yangu cha ajabu nyimbo zipo lakin nikibonyeza play inaandikia unsupported format,je nifanyeje ili ziplay