Namna ya kum-block jamaa kwenye facebook

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Kuna jamaa aliingia kwenye FB na kuni-ADD alitumia ID nyingine nami nilim-ADD kumbe alikuwa jamaa ambaye namfahamu sasa nataka nim-Brock je nifanyeje??????maana ananisumbua sana.
 
Kwa hiyo facebook kumbe ni kwa watu wasiofahamiana?
 
Kuna jamaa aliingia kwenye FB na kuni-ADD alitumia ID nyingine nami nilim-ADD kumbe alikuwa jamaa ambaye namfahamu sasa nataka nim-Brock je nifanyeje??????maana ananisumbua sana.

mkuu facebook ndo nini?mi nadhan ingekuwa busara kwenda kuuliza huko huko facebook..samahan kama nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom