Iphone 6 yangu imepasuka kioo

Iphone 6 yangu imepasuka kioo

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Wakuu habar zenu. Nilinunua iphone 6 yapata miez mitatu sasa, jana tarehe 27 nov imepata ajali kioo kimepasuka. Nomba kuuliza kama naweza fanyia repairing na itacost sh ngap kwa kioo au kama inawezekana kuiuza kama screpa
1480311930863.jpg
 
Je imeathirika kioo tu au?
Kama ni kioo tu andaa kama laki3 hivi
 
Tunajua wewe n fundi kakiletea mtu utengeneze ila tu hujui wapi spare zake znapatikana. Sasa basi ebu ni pm nije ofcn kwangu kkoo kuna kila kitu za iphone 6 ila usipingukiwwe kal 6 jumla na matenfenezo asante
 
Hapan mm siyo fundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom