Habari zenu wakuu,, mwaka kama mmoja uliopita nilikuwa namba nilikuwa naitumia na nilijiunga nayo Whtsp pia, ila bahati mbaya simu ikapotea na nikashindwa kuirenew sabb nilikuwa nje ya nchi je...
Ninaomba kufahamishwa jinsi ya kuroot simu aina ya Tecno C9 maana kwa njia ninazozifahamu na zile ambazo nimewai ona thread zake hapa nimeshindwa kuzitumia hadi nifanikiwe katika hili...
Tujadili kwa niaba ya watu wote wenye mawazo - na +
( Hili ni kosa la udukuzi wa taarifa za kimitandao usijaribu kukutwa )
Tusiwe wavivu au wepesi wa kurahisisha mambo kama mtu haitaji ushike...
Utafiti uliofanywa na tovuti ya Match.com nchini Marekani unaonesha watu utumia hadi vigezo vya simu ambayo mtu anatumia katika kuchagua mpenzi.
Inaonekana watumiaji wa iPhone ndio ‘wanaojisikia’...
How to setup Voice Typing in Android Devices
Just speak out your words and see it typing
Make your typing more easier for you
No stress
No data connection is involve
No third party app is...
Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
Wakuu, kuna hizi taarifa za kuhama mtandao bila kubadili namba.
Naomba kuelewesha inakuaje apo.
" Habari kwa Umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tar...
Kwa alie cheza GTA 5 na Tomb raider 2013 kwenye Ps 3 naomba msaada.Mm nikianza kucheza tu tomb raider yule jamaa naekutana nae mwanzo nakunivuta huniua na kuishia hapo hapo ...kwenye GTA 5 mwanzo...
wakuu hii ipoje yaani kila baada ya kuroot sim hua inakua nzito yaani ukifungua application inakua nzito na haichelewi ina exit ni simu ya tatu hii msaada nifanyeje coz now naona ku root ni ka...
Naombeni msaada wa mawazo niña laptop hp 2000 ina freeze mouse na screen ina freeze kila kitu haki respond. Naomba mwenye aliwahi pata tatizo kama hili anaiambie nini shida.
Asante
Wakuu nilikuwa na Reset Pc yangu ina wondow 10 sasa nilikuwa na Reset yani ifute data zote ianze upya process imeenda fresh mpaka ikajaa asilimia 100 ikaanza kuinstal window sasa hapo Sikujua kama...