Mpango utakaowabana watumiaji wabaya wa Mitandao ya Kijamii

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
653
main-qimg-3ca6f6a9e22ddd7778cf52d249954db9

Leo July 25, 2017 wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano wa pamoja ‘Round Table Meeting’ uliofanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia issue ya matumizi ya internet.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani amezungumza na Waandishi na kusema kuwa upo mpango wa kulinda usalama wa matumizi ya internet pindi zitakapokamilika sheria zote tatu za mitandao ambapo mtumiaji atakayetendewa vibaya mtandaoni atakuwa na uwezo wa kupata haki yake.

“Malengo yetu makubwa ni kuangalia namna gani tunahakikisha matumizi ya internet nchini kama ilivyo kwa wenzetu wa China yanakuwa salama, hayatumiki vibaya, hayatumiki kutengeneza maoni ya watu mabaya dhidi ya mtu, Serikali, Taasisi.

“Tunayatumia kwa ajili ya kujiendeleza, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa mmoja mmoja na kwa Taasisi na nchi nzima.” – Eng. Edwin Ngonyani
 
Tunapelekeshwa na linchi lililo hatua efmoja mbele yetu katika technolojia

Small minded people won't understand
 
main-qimg-3ca6f6a9e22ddd7778cf52d249954db9

Leo July 25, 2017 wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano wa pamoja ‘Round Table Meeting’ uliofanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia issue ya matumizi ya internet.

Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani amezungumza na Waandishi na kusema kuwa upo mpango wa kulinda usalama wa matumizi ya internet pindi zitakapokamilika sheria zote tatu za mitandao ambapo mtumiaji atakayetendewa vibaya mtandaoni atakuwa na uwezo wa kupata haki yake.

“Malengo yetu makubwa ni kuangalia namna gani tunahakikisha matumizi ya internet nchini kama ilivyo kwa wenzetu wa China yanakuwa salama, hayatumiki vibaya, hayatumiki kutengeneza maoni ya watu mabaya dhidi ya mtu, Serikali, Taasisi.

“Tunayatumia kwa ajili ya kujiendeleza, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa mmoja mmoja na kwa Taasisi na nchi nzima.” – Eng. Edwin Ngonyani
Watu wanashindwa kununua debe la mahind kitaani huku walioshiba wako bize kudhibiti internet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Malengo yetu makubwa ni kuangalia namna gani tunahakikisha matumizi ya internet nchini kama ilivyo kwa wenzetu wa China yanakuwa salama, hayatumiki vibaya, hayatumiki kutengeneza maoni ya watu mabaya dhidi ya mtu, Serikali, Taasisi.

“Tunayatumia kwa ajili ya kujiendeleza, kwa ajili ya kuleta maendeleo kwa mmoja mmoja na kwa Taasisi na nchi nzima.” – Eng. Edwin Ngonyani
Ina maana Tanzania hatuna wataalamu mpaka tuombe China??
 
Kama ukiibiwa simu bado huwezi kuipata pamoja na ahadi nyingi wakati wa kusajili simu. Leo hi wanaona wadhibiti matusi kuliko wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatupaswi kuwa waoga kiasi hicho
Weka vpn afu endelea kupuliza mambo yako kama kawaida
 
Back
Top Bottom