Computer yenye i3 inafaa kwa gaming?

Computer yenye i3 inafaa kwa gaming?

Civilian One

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
246
Reaction score
189
Kuna yeyote anaefahamu mambo ya computer anijulishe kama i3 iko sawa upande wa kucheza games nzito nzito kama GTA v,need for speed rivals,far cry...etc
Niko na core 2 duo inacheza slow motion so nataka ku upgrade machine.

Your help will be appreciated.
 
Mchaw n graphic card tu mzeebaba
 
inategemea ni i3 ipi. kwa kuanzia juu kwenda chini hizi ni nzuri.

-i3 ya 7th gen inayoishiwa na u
-i3 ya 6th gen inayoishiwa na u
-i3 ya 4th gen inayoishiwa na M

utacheza kwa low setting kwa 720p au chini ya hapo.

list ya cpu husika ni kama i3 7100u, i3 6100u, i3 4000m, i3 4100m.
 
I3 2100 na graphics card ya nvidia 210 1gb itafaa kweli
 
Back
Top Bottom