said sabari
Member
- Jan 26, 2016
- 26
- 32
Wakuu naomba mwenye uelewa mzuri na hizi line za tigo pesa au mpesa nk anieleweshe vizuri akitokea mtu anataka kuniuzia ni jinsi gani ya kuijua ufanyaji wake wa kazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app