Ufafanuzi Wa ufanisi Kwa Processor hizi za PC

Ufafanuzi Wa ufanisi Kwa Processor hizi za PC

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Ningependa kufahamu kati ya Processor hizi mbili ipi iko faster na yenye Performance nzuri.

1. Intel Core i5 - 3.2GHz Processor, 4th Generation, 2-Logical Cores.

2. Intel Core i7 - 2.16GHz(Maximum Turbo Up to:3.1GHz) Processor, 3rd Generation, 4-Logical Cores.

NOTE
- Hiyo processor ya kwanza ipo kwenye Laptop yenye HDD - 500GB, Graphics Card: NIVIDIA GeForce - 2GB, R.A.M - 8GB.

-Hiyo Processor ya Pili ipo kwenye Laptop yenye HDD - 1TB, Graphics Card: AMD Radeon HD - 3GB, R.A.M - 8GB.


Tueleweshane hapo, Kati ya hizo Machine Mbili zenye hizo Processor...Je ipi iko vizurii Kwenye General Performance, Speed and Multi-tasking?
 
Back
Top Bottom