Hatimaye nimefanikiwa kuinstall na kutumia Samsung Bixby Voice

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
1343b2eaa1c93847ea4ca7ef8a97f2c1.jpg
6bf78c3ee7d757a3c7203a28546a1eda.jpg
8e4898f9c1219b5c5d2075ddbe3b951d.jpg


Baanda ya kuhangaika sana nimefanikiwa kutumia bixby kwenye s8 yangu. Process ni ngumu kidogo.

Ila ni
1. Kwanza ni kuroot simu.( ni lazima simu iwe rooted)

2. Kuinstall TWRP.( hi ni kwa ajili ya kuflash CSC selection)

3. Kuinstall bixby update files (apks). Na ku delete all cache data.

4. Kuflash CSC (flashable Country specific code) selection na kuselect sever ya USA. Hii inawacheat samsung na kudhani kuwa simu ipo USA ili wawezeshe simu yako kuoperate bixby voice.

baada ya apo bixby inafanya kazi kma vle upo USA.

.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Sana kwa kupakua hiyo app kwenye S8 yakwako sasa itakuwa inafanya Kazi kama upo USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu mnajifanya wajuaji kumbe washamba tu.

Hi app ni sever side enabled. Kwa sasa inaweza tumika USA tu. Kama cm haijawa modified huwezi itumia popote tofaut na USA hata kama ukiipakua na kuinstall.

Ndyo maana imebidi ni flash CSC selection na kuselect sever ya USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu mnajifanya wajuaji kumbe washamba tu.

Hi app ni sever side enabled. Kwa sasa inaweza tumika USA tu. Kama cm haijawa modified huwezi itumia popote tofaut na USA hata kama ukiipakua na kuinstall.

Ndyo maana imebidi ni flash CSC selection na kuselect sever ya USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijakuelewa,umesema ku-install ni ngumu coz ina steps nyingi, nimekupa hongera then unasema mie ni mshamba ki-vipi tena? Hayo maelezo niliyoandika umeyaandika wewe mwenyewe mie nimefanya kuya qoute tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom