Internal storage ya simu yangu nimetumia adi ikanipa notification no enough space , nimenunua sd card nime insert na ku i mount kwa phone na iko haina matatizo hi sd , shida inakuja niki...
Kama Kichwa Cha Habari Kisemavyo, Nina Tatizo Na Hii Kitu Siku Ya Tatu Leo WhatsApp Inakataa Kupokea Jumbe,
Nimejaribu Kucheck Tatizo La Internet Liko Poa Ila Kuna Mtu Kaniambia Kuwa Imekuwa...
Top 5 Hidden Android Games which I'm 99.9% sure you haven't come across before. Also doesn't demand any download but they're in-built Android games
Top 5 Hidden Android Games You Don't Know |...
Kampuni ya Apple Inc ambao ni watengenezaji wa vifaa vya mawasiliano kama iPhone, iPads, iPods na MacBooks wameendelea kufanya vizuri kwenye makusanyo ya fedha na kama unadhani kuna siku watafanya...
Nimemwazima mtu pc yangu, sijui kafanyaje but screen imeharibika, nahitaji kuifix nahitaji kupata screen mpya ni hp 250 g4.. kwa fundi anaeweza fix anicheki 0755967517..iko as kwenye video...
Naomba kufahamu jinsi ya kurudisha document iliofutwa kimakosa, kwenye email. Niliifuta kimakosa sasa nataka kuiprint . Naombeni msahada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha nyuma kuna uzi uliletwa jinsi ya kutumia whatsapp ambayo inaficha vitu vingi kama, mtu kutojua kama msg yake aliyokutumia imesomwa, kutojua mara ya mwisho umeingia mda gani, na...
Wakuu..kama inavyoonekana hapo kwenye heading ni kwamba juzi nilinunua sd card ya 16gb na kuiweka na kwenye cm then nikacopy mafile yangu frm internal memory to sd card ila baada ya muda kidogo...