Habari wadau, natumia samsung galaxy J2 Duos, hii simu ni nzuri saana na nnaipenda , tatizo limekuja hapa.
Hii simu ipo na Opearating System Lollipop 5.1.1 nahitaji japo kui-upgrade kidogo kwenda...
Habari wanajamvi wenzangu,
Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno...
Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi?,
Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8
Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU...
WAKUU habari zenu nina tatizo moja pc yangu inastak labda unaangalia movie au unatype basi ikigoma hapo ni mpaka siku tatu mapka nne ndio inakubali kurudi katika hali yake
Naomba msaada ni...
Hello wakuu
Kuna hii sms App iko poa sana aisee
Nashauri Wale wanautumia chatting than calling basi hapa ndo pahala pake
#sms#email chat for android users
Android. Mood Messenger - Messagerie...
Wakuu samahanini...Simu yangu S6 edge imekua na tatizo la kujizima na haiwezi kuwaka bila kuichomeka kwenye chaji..nimejaribu kuifactory reset lakin tatizo bado...Mwenye uelewa naomba msaada
ni samsung GT 9190 internal memory kuandika full wakat kuna GB 15 nimeenda Storage-clear cache ila nikidownload apps,inasema not space enough
TATIZO LINGINE
Simu haipandi 3g,kila nikiset...
Kwa wale watalaam wa umeme nilikua naomba kujua kama inawezekana ku convert single ya volt 230 phase ac supply to three phase ac supply yenye volt sawa na zile zinazotoka Tanesco.
Yaani ni...
Habari??
Natumia windows kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Ila naona nasumbuliwa na ku activate kila mara so nimeamua kuijaribu Ubuntu ili niwape likizo microsoft!!
Haya ndiyo maswali yangu...
1...
Jamani habarin,
nataka kununua kikotoo kipya kabisa kutoka dukani (kwa matumizi ya pure math), ila nimeambiwa kuna bahadhi ni feki, je nitawezaje kujua kikokotoo/Calculator hiki ni feki au genuine?
Calling for bloggers and social media influencers based in Tanzania who are passionate about using the power of the Internet to bring about positive change in their communities.
APPLY NOW-
Nenda...
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita...
Habari za kazi wakuu,
Niko hapa mwanajukwaa mwenzenu nimepatwa na tatizo katika simu yangu, kila nikitaka ku press menu inaniandikia "unfortunately, launcher3 stopped", natambua uwepo wa waganga...