Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Habari wadau, natumia samsung galaxy J2 Duos, hii simu ni nzuri saana na nnaipenda , tatizo limekuja hapa.
Hii simu ipo na Opearating System Lollipop 5.1.1 nahitaji japo kui-upgrade kidogo kwenda Version ya juu.
Nikienda kwnye kupdate naambiwa phone update is available na nna-download kabisa na kufuata procedures zote za kuinstall, ila ikimaliza kuinstall simu inarestart kama kawaida inamalizia Installation as normal but simu ikiwaka naikuta kwenye Version hiyo hiyo ya Lolipop. Nimefanya zaidi ya mara tano na kila ikimaliza installation nikienda kwenye Kipengele cha kuangalia Update na pia Update available Inanipa Option ya ku-download.
Naomba muongozo ni nini naweza kufanya.
JF HATUSHINDWI.