Kubadili umeme wa nyaya mbili kuwa wa nyaya nne

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
653
824
Kwa wale watalaam wa umeme nilikua naomba kujua kama inawezekana ku convert single ya volt 230 phase ac supply to three phase ac supply yenye volt sawa na zile zinazotoka Tanesco.

Yaani ni convert umeme wa nyaya mbili kutoka tanesco niugeuze kuwa nyaya nne ili niweze kutumia mashine yenye motor inayotumia three phase. Pia naomba kujulishwa kama kuna kifaa kinachofanya kazi hii ikiwezekana na bei yake.

Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtaochangia.
 
3phase motor inaweza fanya kazi katika 1phase at a reduced power of 0.667 of the rated,

-chukua capacitor ya 45micro farad, 400V (zile kama za a/c)
-unga terminal zake na za motor, terminal moja ya capacitor iende kwa L1 na ya pili kwa L2

-chukua 1phase yako ya tanesco, unga LIVE kwenda L3 na NEUTRAL kwenda L1

-motor itapiga mzigo ila nguvu itapungua, kama iko rated 15kW basi ujue itapiga at 5kW
 
3phase motor inawazafanya kazi katika 1phase at a reduced power of 0.667 of the rated,

-chukua capacitor ya 45micro farad, 400V (zile kama za a/c)
-unga terminal zake na za motor, terminal moja ya capacitor iende kwa L1 na ya pili kwa L2

-chukua 1phase yako ya tanesco, unga LIVE kwenda L3 na NEUTRAL kwenda L1

-motor itapiga mzigo ila nguvu itapungua, kama iko rated 15kW basi ujue itapiga at 5kW
Iko vizuri
 
Mkuu hio kitu haiwezekani asee kumbuka single phase ina power yake na three phase ina power yake, Hapo tafuta capacitor ili urun hio motor ila tu nguvu itapungua na angalia load yako inahitaji Horse power gani
 
3phase motor inaweza fanya kazi katika 1phase at a reduced power of 0.667 of the rated,

-chukua capacitor ya 45micro farad, 400V (zile kama za a/c)
-unga terminal zake na za motor, terminal moja ya capacitor iende kwa L1 na ya pili kwa L2

-chukua 1phase yako ya tanesco, unga LIVE kwenda L3 na NEUTRAL kwenda L1

-motor itapiga mzigo ila nguvu itapungua, kama iko rated 15kW basi ujue itapiga at 5kW
Nashukuru
 
Back
Top Bottom