Msaada kuhusu CABLE TV

Rasokauzu

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
518
301
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita kutolea taarifa ya vitisho kwa wale ambao watabainika kutoa huduma ya cable TV SO kwa anayefahamu huu mfumoulivyo na unafanyaje kazi funguka tu............
 
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita kutolea taarifa ya vitisho kwa wale ambao watabainika kutoa huduma ya cable TV SO kwa anayefahamu huu mfumoulivyo na unafanyaje kazi funguka tu............[m
hivyo vitisho haujaogopa tu
ngoja hapa wanakuja wajuzi
 
Habari....kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nimekuwa nikisikia kama upo uwezekano wa kupata channel bila ya kulipia kupitia Cable TV na ninatumia king'amuzi cha AZAM ila na wao hawakusita kutolea taarifa ya vitisho kwa wale ambao watabainika kutoa huduma ya cable TV SO kwa anayefahamu huu mfumoulivyo na unafanyaje kazi funguka tu............

wewe unaetoa cable tv unalipia kama kawaida, yule anaepokea anaweza asilipie au akatoa gharama nafuu.

kinachofanyika ni wewe unalipia azam, kisha ile cable inayotoka kwenye King'amuzi unaisambaza kwa watu mbali mbali ili na wao waone unacholipia wewe bila wao kulipia azam.

sema hizi cable ukibadilisha chanell na unayemuungia chanell kwake inabadilika pia,

ili kuwa na chanell nyingi watu wa cable wanakuwa na decoder nyingi, utakuta ana azam mbili, dstv, FTA receiver, startimes etc

ukipita nyumba ukiona kuna madishi mengi juu na kila dish lina LNB nyingi nyingi jua ndo hapo hapo kiwanda cha cable TV kilipo.
 
Hii biashara haiitaji mbwembwe kwenye kumuajiri mtoa huduma kwa wateja wako ni Houseboy mdogo mdogo anayebalehe asiwe mzurururaji, betri za remote na simu ya kuwajulia hali wateja.
 
wewe unaetoa cable tv unalipia kama kawaida, yule anaepokea anaweza asilipie au akatoa gharama nafuu.

kinachofanyika ni wewe unalipia azam, kisha ile cable inayotoka kwenye King'amuzi unaisambaza kwa watu mbali mbali ili na wao waone unacholipia wewe bila wao kulipia azam.

sema hizi cable ukibadilisha chanell na unayemuungia chanell kwake inabadilika pia,

ili kuwa na chanell nyingi watu wa cable wanakuwa na decoder nyingi, utakuta ana azam mbili, dstv, FTA receiver, startimes etc

ukipita nyumba ukiona kuna madishi mengi juu na kila dish lina LNB nyingi nyingi jua ndo hapo hapo kiwanda cha cable TV kilipo.
Mbona huwa inawezekana kubadilisha chanel hata kwa wateja wa cable tv?hii huwa wanafanyaje mkuu.
 
sababu wana decoder/receiver nyingi, na baadhi ya hizo decoder zinatoa chanell zaidi ya moja, mfano ipo dstv inayoonyesha chanell 2 kwa mpigo wanatumia kwenye mabanda ya mpira.

hivyo wewe ukibonyeza 1 kwenye tv unaona chanell ya kwanza ya dstv mfano ss3, ukibonyeza mbili unaona chanell ya azam mfano azam sport HD, ukibonyeza 3 unaona chanell ya startimes mfano TBC, ukibonyeza 4 unaona chanell ya continental mfano startv etc inakuwa kama hivyo.
 
Vable TV ni studio, unakuwa na control room kwa ajiri ya kurushia au kugawia matangazo ya tv kwa wateja wako... una kuwa na tv za kutosha na bank ya receivers eneo la kuweka vifaa kama cable, poles, jointers, madish nk...

ni kama unavyo ona labda millard ayo na chanel yake, na wewe una weza kuwa ivyo ili kuwa na uwezo wa kuangalia vipindi mbali mbali na kuweza kuwapatia wateja wako na kama kuna umuimu wa kuongeza chanel zaidi basi una ongeza... kutokana na uitaji
 
nunua madishi ya kutosha, tv za kutosha, generator (emergency) A/C, ka kompyuta kodi au jenga office kuwa smart
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom