Jinsi gani ya kuficha location yangu kwenye simu?

kalanga1

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
318
422
Habari wanajamvi wenzangu,

Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno ambayo akitumia sheria atanifunga.

Sasa huyo mama kaenda police kafungua kesi, nikaitwa sikwenda, alichokifanya katafuta wataalam wa IT leo eti wameanza kunitrack ili wanikamate, na sasa hivi wamenitumia Location zangu za leo tangu asubuhi nilikuwa wapi na wapi wamenitumia, naombeni mnisaidie jinsi ya kufanya ili ku-hide location. Wakinitrack wasinione tena. Wamenitrack kupitia google map.

Plz naombeni sana mnisaidie
 
Kama ulisajili simu yako huna ujanja kwa hilo,the only option ni kuzima simu tu,and the best way ni kuomba msamaha yaieshe,otherwise utaendelea kuishi kwa mashaka kitu ambacho si kizuri kwa afya yako ya kiroho..
 
uSITUMIE SIMU YA AINA YOYOTE NDIO SOLUTION TOFAUTI NA HAPO NAKUSHAURI TAFUTA MTU WA KUKUTOLEA DHAMANA TU UMALIZE MZOZO NA USIKUBALI KESI YAKO IISHIE POLICE BARI OMBA IPELEKWE MAHAKAMANI UTAPATA NAFASI NZURI YA KUJITETEA. MWISHON NI KWA NINI USIJISHUSHE TU UKAOMBA NDUGU WA HUYO ULIYEMTUKANA WAZUNGUMZE NAE UMUOMBE MSAMAHA? UTAISHI HIVYO HADI LINI?
 
Kuna mwingine alinunua sim kwa mtu kumbe yule mtu nae aliiba, dah jana wamemdaka kama dagaa.
 
Back
Top Bottom