Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wadau... wataalamu wa IT naombeni ushauri nipitie process zipi ili ni activate window 10 yangu... activation keys nimeambiwa zipo kwenye pc.. je naenda ziweka wapi??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu natafuta kama kuna apk ya autocard ambayo ina features nzuri za disigning
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba Msaada Ninahitaji sana kuitumia iMessage katika simu yangu ni Iphone 7 plus lakini nakuta nashindwa kufanya activation ya Hii iMessage Nifanyaje Tafadhari msaada!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu mwenye uelewa jinsi ya kuunga internet Kwa njia ya USB mbona najaribu inakataa? Msaada ninashida hapa Sim ni W5 LITE
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimennunua Tv ya Homebase na king'amuzi cha startimes sasa sipati rangi nzuri ya picha channel zote naomba kujua tatizo ni tv au king'amuzi King'amuzi ni kile cha antena ya ndani...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH VLC MEDIA PLAYER SHORTCUTS Ulishawahi Kufikiria UTAFANYAJE Endapo Siku Mouse Haipo Kwa Namna Yoyote Ile, Labda Imeharibika Au Imepotea N.k, Na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CPU Intel® Core™ i5 Processor 2520M (2.5 GHz - 3.2 GHz (Turbo, 1 Core) 1333MHz FSB, 256 KB per core L2 cache, 3MB L3 cache) Chipset Intel® QM67 Express Chipset Screen Size 13.3" Widescreen High...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie, Sehem ninayoweza kupata hii Logitech G27 Racing Wheel, kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa kipindi kirefu Kampuni/browser ya Mozilla wamekuwa wakishirikiana na Window xp na window vista katika matumizi ya kupakua vitu mbalimbali katika Mtandao, lakini ilipofika tarehe 4/10/2017...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Guys, kama kichwa cha habari kinavyosema; Tecno Spark ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya Tecno. Hawa jamaa wamekuja tena. Nimepitia baadhi ya maoni kwenye mitandao yanasema, body ya Tecno...
1 Reactions
41 Replies
25K Views
Habari wadau.. Napenda sana gaming ambazo nilikuwa nafanyia katika pc ila baada ya latest games kuhitaji high specifications nikahamia kwenye ps3 ingawa nilitamani ps4 ila uchumi ukabana. Magemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada nilikua naichaj sim ndani Kwangu nimestuka usiku sa 9 kuanglia simu haipo nilipo kua nimeweka.. Msaada napata wapi imei zake? Simu ni TECNO W3 LITE. Lengo ni kwenda TCRA...
4 Reactions
89 Replies
10K Views
khabar wadau wa Jf, nimeibiwa sim tecno w4 na imei zake ninazo, je naweza ipata cm yangu?????
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji magemu ya ps3 kwa aliye naye katika mkoa wa MWANZA.kama upo tayari ingia in box
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Naomba kama yupo anayejua namna ya kupata pes 2018 ya kucheza kwenye android anielekeze please
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni application gani nzuri ambayo itaweza kukusaidia kupata simu yako kama imeibiwa au kupotea
1 Reactions
3 Replies
664 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH IJUE IDADI YA WEBSITE ZILIZOHACK-IWA, INTERNET USERS N.K KWA SIKU YA LEO. HATUA 1. Ingia Google. Kisha Nenda Sehemu Ya Kuandika Url 2. Andika...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
wadau mambo VP, naomba mnijuze application nzuri za kuedit picha kwenye simu za android.
0 Reactions
12 Replies
24K Views
KTSS_2018-01-02_x17620_392E2468.key Oke tusaidiane jamani una activate vipi antivirus kupitia licence key kama hivo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom