Tecno Spark K7 na Tecno Spark Plus K9

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,989
Guys, kama kichwa cha habari kinavyosema; Tecno Spark ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya Tecno. Hawa jamaa wamekuja tena. Nimepitia baadhi ya maoni kwenye mitandao yanasema, body ya Tecno Spark ni copy ya iPhone 7; na ukiiangalia hii simu ya Tecno Spark kweli inavutia sana kwa muonekano wa nje. Hii simu inashawishi kuinunua, lakini sisi kina yahe wenye pesa za kuungaunga tumesita kidogo kwenda kuinunua kichwa kichwa kutokana na historia ya simu za Tecno kutokuwa imara, mfano simu kuzimazima kama ina ugonjwa wa kifafa. Hizi Tecno Spark K7 na Plus K9 zote ni non-removable battery na zote zina fingerprint. This time jamaa wamekuja kivingine upande wa software, au ndiyo yaleyale? Msaada kama umeinunua unaweza kutuelezea uzuri na ubaya wake... Thanks.
 
Bei ya Spark K7 ni Tsh 220,000 mpaka Tsh 20,0000 unapata. Bei ya Spark Plus K9 ni Tsh 280,000, 250,000 mpaka 240,000 unapata. Simu hizi Watanzania wengi wanazimudu tatizo jamaa hawaaminiki...
 
images
 
@ChiefMkwawa, hizo simu za Xiamo bei yake inaweza kuwa Tsh ngapi na kwa hapa Tz zinapatikana wapi?
 
Yani kama ni simu mazee niulizen mm ,,nunueni simu unique af za ukweli
641486ae6e3044bd7568abd8f1e39f5a.jpg

Hiyo ni doogee mix ni simu ya mwaka huu chekini specs zake gsm arena ni laki tatu tu,,nikipata hela nitaagiza hiyo nzuri sana
Selfie camera yake ipo chini ili screen iwe full haina boundaries
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom