Ps3 games.

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
950
623
Habari wadau..

Napenda sana gaming ambazo nilikuwa nafanyia katika pc ila baada ya latest games kuhitaji high specifications nikahamia kwenye ps3 ingawa nilitamani ps4 ila uchumi ukabana.

Magemu yaliyonifurahisha zaidi ni the last of us na splintercell blacklist pamoja na fifa 18.

Gameplay ya the last of us imenifurahisha zaidi kama kuna games nyingine nzuri zenye gameplay ya namna hii naomba kujulishwa....

First person shooters sijajaribu kwa sasa huwa naona kama itakuwa ngumu sana kwenye consoles.

Vipi wadau nifahamisheni games nzuri na pia kufahamishana games mbali mbali nzuri.

Karibuni wadau wa gaming.
 
Back
Top Bottom