iMessage ACTIVATION MSAADA TAFADHARI

iMessage ACTIVATION MSAADA TAFADHARI

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Jamani naomba Msaada Ninahitaji sana kuitumia iMessage katika simu yangu ni Iphone 7 plus lakini nakuta nashindwa kufanya activation ya Hii iMessage Nifanyaje Tafadhari msaada!
 
nenda kwenye settings alafu shuka chini mappa kwenye messages, ingia alafu uiwashe on. just make sure umesign in your iCloud account kwani messages zinaweza kuja moja kwa moja Mwenge namba au kutumia your iCloud id.
 
Tatizo inaandika activation unsuccessfully
 
IMG_4173.jpg
 
Hiyo isikupe shida mtu anayetumia iPhone na iMessages on Bado ataweza kukutumia iMessages na ukazipata
 
Sms yako nimeipata kureply ndio inakataa! na mtu kama hatumii iphone haiwezekani mfano mm kumtumia sms mtu anae tumia Android kupitia iMessage
 
iMessages ni only for iOS and Mac OS not any other operating system. So you can only enjoy it with people with appple eco systems
 
Msaada wa kudownload nyimbo kwenye iPhone kwenye YouTube
 
Hapo kwenye send&receive ongeza namba yako ya simu.
 
Back
Top Bottom