MWISHO WA KUTUMIA MOZILLA KWA WATUMIAJI WA WINDOW XP NA VISTA MWISHO JUNE 2018.

bigimoney

Member
Sep 6, 2017
14
15
Kwa kipindi kirefu Kampuni/browser ya Mozilla wamekuwa wakishirikiana na Window xp na window vista katika matumizi ya kupakua vitu mbalimbali katika Mtandao, lakini ilipofika tarehe 4/10/2017, wakaamua kuitangazia Dunia kuwa June 2018, utakuwa mwisho wa kushirikiana miongoni mwa kampuni hizo mbili.
Hii imekuja pia baada ya Microsoft kujitoa kutoa support kwa hawa Window Vista mwezi April 2017.
Hivyo kuanzia kipindi hicho hapo mwakani hapatakuwa na “Update” yoyote kwenye Kompyuta za watumiaji wa Window hizo za Vista na Xp.
Nasi Cataux Computers tunapenda kukujulisha hilo maana unaweza kujikuta Kompyuta yako inaharibika kabisa hata kuwa hatari katika Usalama wa Kifaa chako.
Endelea kufuatilia Ukurasa Ukurasa huu ili upate habari mbalimbali juu ya Matumizi ya Kompyuta yako kwa ujumla.

Karibuni sana kwa maoni na Ushauri, pia uwapo na tatizo lolote la Kompyuta usisite kututafuta. ASANTENI SANA.
Cataux Computers
P.o. Box 12598, Mwenge, Dar es Salaam, Tanzani
Contacts :0714003752
:0682566622
:0764074688
Tembelea Ukurasa wetu, kujifunza zaidi. (Facebook Page):Connectez-vous ou inscrivez-vous pour voir le contenu
b02859d17b847fcd88af5c9056737bdc.jpg
 
Back
Top Bottom