kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Wakuu mwenye uelewa jinsi ya kuunga internet Kwa njia ya USB mbona najaribu inakataa? Msaada ninashida hapa
Sim ni W5 LITE
Sim ni W5 LITE
Niweke program ipi mkuuLazim uwena program km nokia inayo tumia nokia pc suit
Wi-Fi inagoma ndo nikaamua kutumia USB mkuuMkuu ku-connect kwa wi-fi imeshindikana kabsa?
Ndo itakubali internet?Hamishia mafaili yako toka kwenye phone memory kwenda kwenye sd
Sasa kamba hizi, mbona mimi natumia tecn kuconnect usb internetLazim uwena program km nokia inayo tumia nokia pc suit
Hebu eleza tatizo lako kwa kirefu, ukichomeka USB inasoma kama chaji au inakuonesha option ya kuchagua charge only, media transfer n.kWakuu mwenye uelewa jinsi ya kuunga internet Kwa njia ya USB mbona najaribu inakataa? Msaada ninashida hapa
Sim ni W5 LITE