Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nataka blog advanced kama hii. Tafadhari kabla hujasema dau ipitie kwanza uione
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Habari ndugu... Naomba mtaalamu mmoja wa IT kuna project nataka tuifanye kwa pamoja. Ahsante!
3 Reactions
6 Replies
391 Views
Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu...
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi. Hahikuhitaji ununue game...
2 Reactions
1 Replies
285 Views
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa. Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo. Mimi ni music Enthusiast toka...
59 Reactions
580 Replies
30K Views
Dubai wamefanikiwa kuzindua kamera zenye Teknolojia ya hali ya Juu ya AI iliyoundwa ili kuweza kugundua ukiukaji wa sheria 17 za alama za barabarani, kuanzia watu ambao wako kwenye gari hawafungi...
2 Reactions
4 Replies
508 Views
Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet? Ikiwezekana na bei zikoje? Asante.
2 Reactions
11 Replies
611 Views
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza...
5 Reactions
14 Replies
11K Views
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini...
1 Reactions
7 Replies
537 Views
Wakuu swalamaa...... Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Je;ni SIMU aina gani...
4 Reactions
10 Replies
499 Views
Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la...
24 Reactions
60 Replies
3K Views
Anyone here who can help me unsuspend my facebook account? Please inbox for arrangements
1 Reactions
0 Replies
270 Views
Inawezekana umeweka password ya ku login Kwenye window 10 alafu ukasahau password yake Je ndo hu format window nzima ?? Hapana [emoji112] Leo nakuambia nini ufanye ikitokea kompyuta uliyonayo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kwema Niulize chochote kuhusu programming language 1.PHp 2 javascript 3.mysqli Additional java. Jquery na ajax. Karibuni. Updated: Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa...
6 Reactions
87 Replies
7K Views
For any beginners who have just started to learn how to code or for anyone who would like to start it can be a little bit daunting! There are many different programming languages to choose from...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna subwoofer nyingi zime zagaa sasa nashindwa ni ipi ninunue maana sija wahi tumia sijajua ipi ni nzuri maana nisije nikanunua leo kesho imekufa Naomba mnisaidie mnao fahamu kuhusu hivi vitu...
2 Reactions
150 Replies
44K Views
Back
Top Bottom