Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema.
Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao...
Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto
nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
#mwanakidigitali hii utaipenda …
WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌
Ona...
WanaJF,
Poleni na majukumu.
Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua.
Msaada tafadhali kwa mafundi...
Habar wakuu, Najua wengi hamko Interested na Facebook ila kwangu mimi ndio furaha yangu ilipo.
Nilikuwa nimeset "Two factor auntontification" kutokana na usalama wa account yangu dhidhi ya...
Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha...
Soma usije kulaumu mtu baadae haya maelezo ni zaidi ya kuwa na degree
Watu wengi wanaotumia Canva huwa wanatumia kutengeneza posters za social media kama za Instagram, facebook, twitter n.k...
Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025.
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
Wakuu Habari zenu?
Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao...
Wakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality...
Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation.
Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet)
Leo...
Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online
Katika dunia ya kidigitali, kuna fursa nyingi za kufanya biashara, kupata huduma, na hata kujifunza. Lakini pamoja na faida hizi, kuna pia hatari ya kutapeliwa...
Nlikua nnahitaji ninunue JTAG but kwa kua bubget yangu ndogo nlitaka nichukue bila ufs socket lakini nna swali kwa WENYE kutumia JTAG.Hivi nikiwa na hiyo package ambayo Haina ufs socket nitaweza...
Wadau Leo ktk pitapita zangu nikakutana na mpango wa Marekani kufungua crypto reserve kama walivyofanya kwenye Gold reserve kule fort Knox.
Lakini Kuna siku niliwahi sema siiamini USDT kwasabu ni...
Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la...
Japan kutuma chombo kwenda kusafisha Anga kwenye roketi zilizokufa
Shirika la Anga toka Japan Astrocale inakabiliana na tishio la kuongoezeka kwa takataka Angani na kuamua kuzindua Misheni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.