Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

claudematemu

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
262
405
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.

Addition
Pia kama wewe ni developer uwe upande wa Web au Mobile unaweza ukawasiliana na mimi hapa tukawa kubadilishana mawazo maana naamini kwenye Umoja nakusisitizia usitangulize pesa mbele bali wekeza ili badae uweze kupata pesa ukiweka pesa mbele safari itakua ni Ngumu sana.

Watu wote waliofanikiwa waliwekeza mda kwanza na kutafuta fursa za wao kuwaingizia pesa MIMI PESA SIO KIPAUMBELE CHANGU. KIPAUMBELE CHANGU NI KU INVEST KWA NGUVU ZANGU KWENYE KITU KITAKACHO NIINGIZIA PESA.

MIMI NI BASE SANA NA WEB DEVELOPMENT NA PIA MOBILE APP KWA UPANDE WA ANDROID PEKEE UPANDE NATENGENEZA KWA KUTUMIA KOTLIN ILA KUTOKANA NA DUNIA ILIVO HAPA NDO NIKO NASOMA REACT NATIVE ILI NIKITENGENEZA MOBILE I RUN IOS NA ANDROID.

UPDATE
Mimi sifundishi watu kama unataka nikufundishe inabidi ulipiee embu jaribu kufikiria mtu anakuambia mfundiamshe css, javascript React au Angular buree daah.

Namba ya Simu
0746815931
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Unaweza kuunda SaaS?

Una hobby gani nyingine nje ya web design?
 
Ha

Haya , anza kujifunza teknologia za kisasa kama Dart, React, Angular, nodejs, no sql databases, cloud services kama firebase, AWS. Etc
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Tuonyeshe mobile app yako uliyo develop
 
Nina wazo ila sjui pa kuanzia Tanzania Kuna watu 60M kwa mujibu wa takwimu za sensa 2022 ,,watumiaji wa smartphone ni 27% ya hao watu million 60 ,,nikawaza kama nikipata 1% ya watanzania wanaotumia smartphone nikadevelop kitu ambacho hii asilimia 1% ya watanzania wataweza kuchangia 500 per month throughout the year nikaona I can make a handsome amount of money wazo likaishia hapo ila bado naendelea kuchimba

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Sales copy writer
2. Kuwa mwanasheria na wakili
3. Kuwa mwalimu
4. Kuwa mwandishi
5. Kuwa muongoza watalii (tour guider)

Tengeneza site (sababu wewe ni web developer) za mojawapo ya kazi nilizokushauri hapo juu na uwe boss mwenyewe

Ni kweli nimeona wewe siyo mpenda hela kama ambavyo umetangaza kwenye hoja yako kwamba utafanya kazi Bure partner awe na idea na mtaji wa marketing! Ni kweli nimeona kwa asili kabisa hela siyo vitu unavyovipa vipaumbele sana!
 
Back
Top Bottom