Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau, naomba msaada wa APK ya MiniTube. Ikiwa kuna yeyote anayeweza kunisaidia kwa njia ya kupakua au kutumia programu hii, nitashukuru sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a Kuuza ni ngumu Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series. Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers. 1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu...
13 Reactions
113 Replies
7K Views
Nimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼 Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali...
19 Reactions
41 Replies
12K Views
𝗠𝗮𝘁𝘂𝗸𝗶𝗼 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗻𝗴𝗮 𝘆𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼𝘁𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟰𝟬 𝗦𝗶𝗼 𝗺𝗰𝗵𝗲𝘇𝗼 Kabla hatujafikia mwaka 2040 kuna miaka 15 ndani yake kutatokea matukio ya Aiabu kwenye Sayari yetu ambayo mengi ni ya...
5 Reactions
3 Replies
598 Views
Habar wana I.T nawezaje kupata simuliz za ruhundwa zlzokamilika bla kutumia app yake iliyopo playstor,maana app ile kwang inagoma kunisajil,msaada wenu jaman kwa anaefahamu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu heshimu kwenu. Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kujua jinsi ya kufanya channel hizi za WhatsApp iweze kuonekana kwenye search pale mfano WhatsApp mtu akiitafta jamiiforum inakuja. Naomba kufahamishwa tafadhali, ni process...
0 Reactions
5 Replies
647 Views
Smart-glasses na Argumented Reality glasses zimeanza kitambo ila bado hazijafika "peak" ambayo mtu atatamani kununua. Tokea enzi Google alileta Smart-glasses zake 2013 akawa anawauzia...
6 Reactions
5 Replies
537 Views
Wakubwa nilikuw naomba kwa yeyote anayejuwa odoo ajaribu kunielewsh inavyofnya kazi
2 Reactions
9 Replies
554 Views
Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na...
0 Reactions
5 Replies
574 Views
Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa. Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo. Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia...
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi. Mahala pa kununulia pc za kuchezea games...
19 Reactions
182 Replies
29K Views
Nataka kununua komputa desktop kwa ajili ya kurusha movies na nyimbo ipi model yenye kasi? Bajeti yangu ni laki 3 na 30 wakuu asanteni.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
𝗛𝗶𝘀𝘁𝗼𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗭𝗮 𝗡𝗼𝘁𝗶 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti...
2 Reactions
2 Replies
770 Views
Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa...
2 Reactions
8 Replies
984 Views
Back
Top Bottom