Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡 𝗜𝗠𝗘𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨 Dunia na maajabu yake!! 👋 Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu. Mfumo huo...
1 Reactions
1 Replies
259 Views
Habari zenu wakuu… Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu...
29 Reactions
98 Replies
31K Views
Kwa sababu hiyo app ndio inasababisha simu za iphone zionekane ni mbovu kwa sababu ya kufunguliwa mara kwa mara, kwaajili ya kubadilisha battery unakuta fundi kwa bahati mbaya amekanda mikanda Na...
4 Reactions
8 Replies
728 Views
Wakuu kwema Nafundisha Programming kwa bei rahisi saana nafundisha language zifuatazo. 1.PHP 2.JAVASCRIPT 3.HTML 4.CSS 5.REACT NATIVE IN DEEP DOWN 6.EXPRESS JS 7.LARAVEL IN DEEP DOWN...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order! Unahizi functionalities! • Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order...
4 Reactions
13 Replies
672 Views
Hope mko poa. Now days mambo yamekua marahisi sana tuna autosourcing nyingi za kujifunza ila tatizo ni kuchagua Luga sahihi kwa mda sahihi Sasa leo nataka nikuandike lugha za kujifunza ...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
𝗦𝗮𝘆𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝟲 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗹𝗲𝗼 𝘂𝘀𝗶𝗸𝘂 Kwenye page ya @picabuzz , katika siku chache zilizopita walifanikiwa kunasa picha nzuri yenye kupendeza wakati wa siku baada ya kuona sayari zote ziliweza...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
sold
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu...
0 Reactions
12 Replies
946 Views
Salaam, Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Baada ya kuona review kadhaa nimeona nifungue account ds. Sasa Code niliotumiwa nikiingiza inasema invalid code. Nimejaibu mara ksdhaa bado imegoma. Baadhi ya system huwa code no ikigoma huwa...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin...
0 Reactions
4 Replies
636 Views
Simu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.
1 Reactions
8 Replies
479 Views
Wakati wengi wanakubali kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kuleta mapinduzi ya viwanda na kuboresha maisha, kuna wasiwasi unaoongezeka juu ya athari za kimaadili na usalama wa maendeleo yake ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
kwenye app nyingi siku hizi kuna matangazo mengi sana ,sasa ni njia gani ya kufanya ili usipate hayo matangazo
0 Reactions
3 Replies
495 Views
Kwema wakuu??Ni ipi online application nzuri naweza pata kusikiliza Radio za hapa nyumbani??Maana npo naishi bondeni huku hata Radio hazishiki. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita. Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please Asanteni
2 Reactions
10 Replies
836 Views
𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗮 𝘆𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘆𝗼𝘁𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Kama mpenzi wa masuala ya Anga basi mwaka huu 2025 kutakua na matukio mengi ya kushangaza ambayo utaweza kuyaona live kwa macho yako. Haya ni...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom