msaada nokia e73

msaada nokia e73

napenda movie

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
554
Reaction score
490
nokia e73 niliweka kwa betri ya pikipiki yaani kuunganisha terminal zake bila betry wala kipoza charge nilipo washa haikuwaka na nilipojalibu kuweka betri haikuwaka tena je ni nini kinaweza kuwa kimehalibika ili nibadilishe
Screenshot_2017-11-30-23-09-27.png
 
Back
Top Bottom