MBADALA WA GOOGLE ADSENSE = FACEBOOK ADS

jamiisoft

Member
Jul 13, 2016
60
33
Adsnse imekuwa kizungumkuti kwa bloggers wengi sana.. Masharti kibao na pia dolari kuingia hadi uumize kichwa kweli kweli.. Ila yote hayo karibuni yanapotea kutokana na ujio wa Facebook Instant Articles.....

Facebook Inakupa fursa kuweka matangazo (yao) kwenye Page yako ili kujiongezea kipato.
Unaweza Ku monetize page yako, Mobile website yako pamoja na application.

Masharti yao ni simple kama vile a,B,C D,....

  • uwe na top level domain name eg .com, .net etc
  • Doimain yako iwe validated (ssl certifcate) https
  • Blog (Wordpress)
  • Facebook Page

Kama vyote huvyo upo navyo ukiomba inachukua atmost 3 days unaanza kupiga mpunga


Ukihitaji msaada nama ya kuunganisha Tuwasiliane: 0719658086 / 0764200118
 
Tuwasiliane
Kama huna blog ya Wordpress

Blog Design Nakufanyia Bure
Setting za kukuunganishia nakufanyia bure


Gharama ni kama ifuatavyo
Website Hosting Tsh 10,000/= kwa mwezi
Domain name Registration (.com) Tsh 25,000/=
SSL Certificate Tsh 5,000/=
Jumla Tsh 40,000 Kwa mwezi wa Kwanza
Then baada ya Mwezi ni Tsh 10,000/= Kila Mwezi ya Website Hosting

0719658086/0764200118
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom