How to root techno spark plus


K

kifimbodo

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
143
Likes
53
Points
45
K

kifimbodo

Senior Member
Joined Apr 23, 2015
143 53 45
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza.
Natanguliza shukurani zangu kwenu watalaamu wa IT
 
sultanseifu

sultanseifu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
425
Likes
194
Points
60
Age
19
sultanseifu

sultanseifu

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2017
425 194 60
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza.
Natanguliza shukurani zangu kwenu watalaamu wa IT
Wanakuja.
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,262
Likes
4,735
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,262 4,735 280
Wako njiani
 
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
2,332
Likes
1,919
Points
280
Metakelfin

Metakelfin

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
2,332 1,919 280
tumia kingoroot.
na uje kusema ahsante
 
M

Mikanjuni

Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
56
Likes
11
Points
15
M

Mikanjuni

Member
Joined Jan 27, 2012
56 11 15
Techno k, msaada jinsi ya kumute sauti ya kamera, (kuondoa sauti wakati was kipiga picha)
 
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Messages
3,398
Likes
425
Points
180
Papa Mopao

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2009
3,398 425 180
Techno k, msaada jinsi ya kumute sauti ya kamera, (kuondoa sauti wakati was kipiga picha)
haina sehemu ya ku-mute hiyo, labda uweke silent mode
 
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
534
Likes
363
Points
80
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
534 363 80
Mkuu msaada namna ya ku root tecno spark k7
Njia ni 1 kasoro gari tu,yaani cha muhimu ni kupata recovery lakini soma iyo ya cx afu itapata miongozo
 

Forum statistics

Threads 1,213,481
Members 462,150
Posts 28,479,347