jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
Za asubuhi guys, hope mmeamka salama.
Leo nmekuja na wazo jipya la kujikwamua kiuchumi kwa kutaka kuunda timu ambayo tutatengeneza na kuunda blog yetu kama ti ,na kisha kupeana majukum kwa kila mtu.
Blog yetu itakuwa serious kwani lengo ni kuwa na blog ambayo hapo baadae itatuingizia kipato na hata baadae kufungua online TV.
Nimetoa wazo hili la kuunda timu sababu blog huwa haiwezi kuendeshwa na mtu mmoja bali watu as a team.
NB: Kila mtu atakuwa na haki kama member wa blog na mapato yatayoptkana yatajadiliwa na members wote yafanyie nini.
Kwa aliyetayari na yuko serious anaweza kuncheki inbox na kwa mwenye swali anaweza kuuliza pia.