Iikiwa nzito ingia task manager uone inasomaje,
kuingia task manager bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja au pale chini kwenye task bar right click kisha chagua task manager.
utaona ram, cpu na harddisk na jinsi zinavyotumika.then baadae ya kufungua task manager, hatua inayofuata ni ipi?
I
Mkuu Chief-Mkwawautaona ram, cpu na harddisk na jinsi zinavyotumika.
mfano ukiona ram inafika 80% kupanda means unahitaji kuongeza ram au kutoa hizo apps zinazokula ram, same kwa hard disk na cpu.
![]()
sometime utahitajika kuclick more details kwa chini ya task.manager ili uone kwa ukubwa zaidi.
unaweza kuingia safe mode? ili ujue kama ni tatizo la software ama hardware.Mkuu Chief-Mkwawa
Naomba msaada laptop yangu dell inaanza kuwaka inaishia nusu haijazi kile kimstari inaishia hapohapo,
Badirisha hard disc imekufa hiyoMkuu Chief-Mkwawa
Naomba msaada laptop yangu dell inaanza kuwaka inaishia nusu haijazi kile kimstari inaishia hapohapo,