Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow. Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana. Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
1 Reactions
4 Replies
558 Views
Choosing the Right AI Model for Strategic Tasks Businesses today face the challenge of selecting the optimal AI model for tasks ranging from simple automation to complex strategic...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Penye wengi daima pana mengi, nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazoendelea kwenye jukwaa hili la Teknolojia hasa ukizingatia kadri siku zinavyozidi kwenda basi na teknolojia nayo inazidi kushika...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX...
1 Reactions
19 Replies
997 Views
Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa...
5 Reactions
90 Replies
12K Views
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Wadau kuna yeyote anaweza tupa maujanja hasa frequency ambazo zitatupa FTA channels frm satellite kwenye AzamTV
1 Reactions
18 Replies
14K Views
Nipeni Specifications za computer zinazo support kazi za Graphics design Especially InDesign Adobe Photoshop Illustrator Nataka ku base humo
2 Reactions
14 Replies
577 Views
Wakuu Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career. Nikaanza kufuatilia nitaanzaje? Niliambiwa...
88 Reactions
249 Replies
21K Views
Naombeni msaada wakuu kufahamu Samsung A22 Upande wa Camera Na kukaa na chaji
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha Habari Husika. Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Kampuni gani itafaa zaidi kwa.matokeo bora zaidi ya mdundo. Subwoofer achana nazo. Njoo na estimated price. Radio ya Sony nimewaachia family Dar
2 Reactions
35 Replies
6K Views
wakuu habar zenu? Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee. Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wakubwa, Naomba kwa yeyote yule anayejuwa na mwenye uwelewa namna yakuweka Quickbook kweny cloud anicheki 0752338979
0 Reactions
0 Replies
292 Views
A HARD WAY TO BE 1337 HACKER.. Leo Nitashare mawazo yangu hapa au tuseme ushauri ambao nina uhakika utakwenda kukufungua mindset yako juu ya Tasnia hii changa hapa Tanzania yaani tasnia ya Cyber...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakubwa habari zenu, naomba mtu yeyote mwenye ujuzi na quickbook accounting software anisaidie hili swali, Je inawezekana kutumia Quickbook desktop kweny cloud?
0 Reactions
2 Replies
387 Views
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni...
2 Reactions
7 Replies
682 Views
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash Kwa shida na teknolojia...
23 Reactions
230 Replies
52K Views
Back
Top Bottom