Advanced hacking; Don't be a script kiddie..

ICT_student_TZ

JF-Expert Member
Jun 27, 2018
388
250
A HARD WAY TO BE 1337 HACKER..

Leo Nitashare mawazo yangu hapa au tuseme ushauri ambao nina uhakika utakwenda kukufungua mindset yako juu ya Tasnia hii changa hapa Tanzania yaani tasnia ya Cyber securty (Cyology) au Hacking.. hasa kwa wale ambao wanaojiita hackers but in reality They are just a sctript kiddies..wanacheza tu na PC kama watoto 😂😂

Nikuambie tu Kujua kutumia Linux distros kama vile Kali linux,Parrot,Back box,Black Arch linux (my favorite one) hakukufanyi uwe hacker bado you are just a script kiddie.

Kudownload na kuinstall linux tools na public exploits Hakukufanyi uwe hacker, bado you are just a script kiddie..unacheza tu kama mtoto (kwasababu public exploits nyingi huwa vulnabilities zake zishakuwa patched kwahio hakuna utakacho ambulia labda uzifanyie reversing au huyo target wako awe mpumbavu na mjinga kiasi kwamba Hajui hata ku-update program/software anayoitumia.

kwa kuwa mara nyingi hizi exploits zinakuwa public baada ya vendor wa hiyo program/software kupewa muda flani kufix hiyo vulnabilit/Flaw.. na wanaogundua hizi vulnabilities au bugs wanapiga mpunga mrefu yaani hii ni legal Busness kabisaaa..


Nikuambie tu Hacking is not simple as you think,na Hacking haijawai kuwa rahisi hata siku moja haking ni ngumu tena sana..Kama wewe ni script kiddie au newbine na unatamani kuwa elite hacker unalazimika kujifunza technology kwa namna yeyote ile ni lazima ujue jinsi mambo yanavofanya kazi ni lazima ujutoe kwa hali na mali ni lazima upoteze muda wako kujifunza technology.

Hata mm nimekuwa script kiddie kwa muda mrefu na sasa nipo kwenye stage fulani ya safari yangu hii na ninaamini soon nitakuwa elite hacker mzuri sana kwa sababu teyari najua natakiwa nifanye nn na pia najua he secret ni kujifunza tu technology hakuna zaidi..


Pia nitumie fursa hii kutambua michango mingi ya Members wa hapa JF ambao walikuwa muhimu kwangu kipindi naanza safari hii na niseme tu sijakusudia kusema kwamba mm eti ni elite hacker au mm ni noma sana kwenye hizi mambo hapana hata mm nilikuwa script kiddie na sasa nipo kwenye stage fulani kuwa elite hacker..Sasa Hapa nimekusudia kukusaidia kukupa list ya technologies ambazo unatakiwa kuzijua ili uwe elite hacker..Hizi technologies unaweza kujifunza Online au chuoni Accademically au chuoni Proffessionally au moja kwa moja kwenye tasnia yaani field/industry.A HARD WAY (TECHNOLOGIES) TO BE AN 13337 HACKER


Basics of Linux + Bash scripting


Kujua kuitumia linux ni mwanzo tu wa safari yako kwasababu software nyingi nzuri pi ni open source zimetengenezwa zitumiwe kwenye linux mf.radare,gcc,ollydbg nk.


Programming in C au C++ au C-sharp au python au Java nk.

Hizi zitakusaidia kutafuta Vulnabilites/Flaws kwan software nyingi huandikwa kwa hizi kugha, Pia kujua mojawapo ya language hizi zitakusaidia kuandika exploits baada ya kugundua hiyo vulnability/Flaw)


Assembly language(32bits intel assembly recomended).

Hii itakusaidia kuona jinsi program inavyorun na kuicontrol vile unavyotaka ww..pia itakusaidia kuandika payloads ambayo utaiambatanisha na exploits yako ullioindika aidha kwa c,c++c-sharp,java,python au perl n.k


Debugging.

Hii itakusaidia kujua jinsi program inavyofanya kazi na kuicontroll jinsi unavotaka ili uweze kuona na kugundua inavulnabilites zipi kama ni stack overflow,heap or memory corruption au kama programer kafanya makosa ya format strings..


Reverse engineering.

Hii itakusaidia kuichambua program/software ili ikiwezekana uone source code zilizotumika kuandika hiyo program/software ili uone na kugundua hizo vulnabilities/Flaws

Networiking.
hii itakusaidia kujua jinsi gani vifaa vinavyowasiliana hasa katka stage ya internet na Transport layer.

Windows Operating systeams + powershell scripting.

Hii itakusaidia pia kwani program/software nyingi zinazotumiwa na end users (users wa kawaida sio kwenye production) zimeandikwa zitumike kwenye windows OS.


Hapa sasa tunabobea kwenye section tunayotaka tuwe nondo zaidi..


DATABASE HACKING.

hapa tunabobea katika kuhack Database technologies kama kuexploits program/softwares kama vile Mysql,MongoDB,Microsoft sql nk.


WEB SERVER HACKING.

hapa tunabobea katika kuhack web servers program/software kam avile Apache,Microsoft server nk.


Web Technologies.(HTM,PHP,SQL DATABSES,WEB SERVERS,).

Hii itakusaidia kujua jinsi gani web based program/software zinavofanya kazi na kuweza kuziattack (kama hauko interested na web hacking sio lazima kuzijuia in deep just basics inatosha) pia ni technologies rahisi sana ukilinganisha na zengine.


HARDWARE HACKING

NK.................xx...............xx................xx............xx.............


Sasa hapa chini kuna link ya video mbili ambazo nina uhakika zitakwenda kukusaidia kufungua mindset yako na kuanza kufikiria kama elite HACKER ili uanza safari yako kutoka kuwa script kiddie kwenda kuwa elite hacker..


Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kutafuta online kupata video nzuri zinazo eleza vizuri what is hacking and what to do kuwa elite hacker..kama hautoelewa unaruhusiwa kuuliza swali wataalamu watakuja kusaidia au kama una mchango positive unaruhusiwa pia kuchangia ni kwaajili ya manufaa na maendeleo kwenye hii sekta yetu changa ya Cyber security hapa Tanzania pia Nategemea miaka ijayo kutakuwa na maconference makubwa hapa Tanzania kama ilivyokuwa huko Dunia..AU mikutano mikubwa kama vile Blackhat confrence siku moja ifanyike hapa Tanzania.
Angalizo:

Tazama video zote mbili mwanzo hadi mwisho ili uelewe hii concept niliyoieleza tangu mwanzo.

Angalizo:


Video ya pili inahusisha

Basics of Assembly programming,C programming,Debugging&reverse engineeering,simple exploits development with c or python.Video hizi hapa

Check this youtube video.1


check this youtube video.2


Angalizo:

Video ya pili inahusisha

Basics of Assembly programming,C programming,Debugging&reverse engineeering,simple
exploits development with c or python.

Niwatag hawa watu ..
Thefreedom rootadmin na huyu script kiddie the great wizard
 

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,035
2,000
Mkuu umeandika vyema ingekuwa vyema kama ulivyoorothesha chapisho mwanzo mwisho ungekuwa unatufungulia Uzi wa topic moja moja unatupa maelezo kidogo unaatach NA PDF notes kadhaa na kama app ipo unatuwekea then mtu anaenda komaa maana haya mambo unatakiwa pewa mwanga kidogo then unaenda kukomaa NA kuzidi zama chimbo zaidi
 

login-logout

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
267
500
Kama unataka ku hack webite iliyo tengenezwa na PHP sihitaji kujua hayo yote, naweza tumia hiyo hiyo php kufanya tafrani ... japo kujua language nyingi inampa mtu fursa ya kufanya mambo mengi ila sio kumfanya kuwa hacker mzuri, kujua language na ku hack vitu viwilo tofauti
 

login-logout

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
267
500
Mtu anae taka labda kuingia au ku clack OS, some App flani flani, ina mlazimu awe anajua vitu kama, IA-32 CPU Architecture, stack frames, heaps, exceptions, ImmunityDBG, Ring3 Windows Internal Structures... etc etc... issue muhimu ni kujua unatala kudodondosha nini
 

login-logout

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
267
500
Na kama unataka ku dondosha Android, maana yake ni lazima ujue mazingira mazima ya android, pamoja na examine, build, debug and run applications... hapa IDE inahusika kidogo ujue, pia ujue namna ambavyo android studio ina compiles code and resources into a working android application
 

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
461
1,000
Nisha cheza na Banks kadhaa pasipo wao ku notes miaka ya 2013... TCRA ni wepesi tu... sema unataka ku hack nini huko ? Even GePG...
Mi natamani sana kujua haya mambo naomba mnisaidie nahitaji kusoma vitu gani niko tayari kujifunza hata kama ni mwaka...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom