IoT: Teknolojia Inayounganisha Vitu na Maisha Yetu
Katika dunia ya sasa inayozidi kushikiliwa na teknolojia, kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayobadilisha namna tunavyoishi...
Sasa naamini wengi watakuwa na access ya mtandao zaidi kwa Bongo.
Modem ya Zantel ni Tshs 150,000/= na ya Zain ni Tshs 60,000/=
Zantel:
Monthly
2GB - 10,000/=
8GB - 50,000/=
ZAIN:
Weekly 3GB...
Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali...
The rollout will cover Nigeria, Kenya, Malawi, Madagascar, Zambia, Rwanda, Niger, Chad, and the Democratic Republic of Congo, all markets where Airtel is already active
Wakuu Hii deal leo Airtel...
Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama...
Samsung Galaxy One UI, sio jina geni kulisikia, si ndio?
Hii ni software inayotumika kwenye simu na tablet za kampuni ya Kikorea Samsung.
Samsung walipoanza kutengeneza simu mwaka 2008 walikuwa...
Jinsi Teknolojia Inavyoboresha Maisha ya Watu Wenye Ulemavu
Katika dunia ya leo ya kidijitali, teknolojia si tu nyenzo ya maendeleo bali pia mkombozi mkubwa kwa watu wenye ulemavu. Iwe ni ulemavu...
Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao...
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.
Kwa sasa, inachukua masaa 16...
Drones Tanzania: Fursa Zake Katika Kilimo na Usimamizi wa Maafa
Katika dunia ya sasa, teknolojia ya drones (ndege zisizo na rubani) imekuwa chombo muhimu si tu kwa shughuli za kijeshi bali pia...
China ni balaa miezi mitano ndani ya mwaka 2025 inatikisa ulimwengu
💡 China ndani ya Miezi mitano TU ya mwaka 2025 inaoongoza kwa kutoa na kuzalisha viwanda. Katika miaka ya hivi karibuni...
Habari wana JF, ni mda sasa sijapost kitu kuhusu blockchain and cryptocurrency ila leo nikapata idea nikaona nilete uzi mwingine unaoelezea kuhusu blockchain and cryptocurrency. Huenda ukawa...
Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki.
Leo nataka kuendelea...
TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha...
💡 Whatsapp imefanikiwa kuweka rekodi kwa kuwa mtandao wa kwanza wa kijamii kuwa na watumiaji wengi kila mwezi zaidi ya watumiaji bilioni 3.
💡 Siku ya jumatano mkurugenzi mkuu mtendaji wa meta...
Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi...
Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing
Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.