Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naombeni kujuzwa duka lenye laptop kwa wingi ili niwe na uchaguz wa laptop inayofaa pia kama lipo lijulikanalo kwa bei afadhar kidogo na lile la bei ghali
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Wakuu msaada wenu unahitajika... Nimeresett pc hapa, ila baada ya kumaliza process mafaili yote yamebadilika kuwa PPTX... Ni kuanzia audio, video, picha hata exe files....naomba mnisaidie jinsi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu najaribu kufungua eBay a/c sasa kuna kile kipengele cha kuweka information za ulipo ili bidhaa ikufikie , kuna baadhi ya vitu nashindwa nijaze nn mfano 1: ENTER ADDRESS 2: STATE /...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya mda huu wana Jf, samahani naomba mwenye link ya unioffer anisaidie.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nilikuja na ombi la namna ya utengenezaji wa web kama hii ila mpaka kufikia leo sijapata msaada nawasilisha naomba kujuzwa... CHIEF MKWAWA Home Page | Halab Tech Support
0 Reactions
9 Replies
1K Views
katika pita pita zangu nikakutana na na ilo tangazo pichani kua sasa kuna uwezekano wa muamisha ela iliyopo paypal kwenda kwa account yako ya bank ya crdb bank.nazani sasa wale mlikua mkilipigia...
10 Reactions
60 Replies
12K Views
Habari Naomba kujua ni application gani ambayo inatumika kutengeneza card za harusi, business card n.k tofaut na ms publisher
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Wakuu habari za weekend. PC yangu kwenye wi fi haiwaki on , nikiclick kwenye WiFi haioneshi on au kubadilika ranging inakuwa bluu yaani on, nataka koconnect na internet ya simu nitumie PC...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wakuu wenye hili jukwaa. Samsung 7 pro imecrack screen nimeingia kwenye mafundi screen replacement wanasema bei ghali sana, nikaingia online kutafuta touch sreen only, Nimeipata kwa bei...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wataalam naomba kujua tofauti iliyopo kati ya hizo nilizotaja hapo juu. Nauliza hivi sina ninachokijua khs hizi flat tv.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umezawadiwa vocha ya Uber ya Tsh 3,000 BUREE kwa kulipia bili yako kwa kutumia Tigo Pesa. Tumia fumbo la siri TDex9s78 kwenye Uber yako ili kutumia vocha yako -- KAMA KUNA MTU ANAEFAHAM ATUELEZE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni nini shida
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habar wakuu nigependa kufahamu kama kuna taasisi ya afya Tanzania inayotoa huduma ya LASIK na gharama zake
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Nataka kuanza kufanya kazi ya kufanya video za muziki kwa kuanzia, na nikajaribu kuangalia ni kamera ipi naweza kuanza nayo kwa kuangalia aina ya kazi nitakazo anza kuzifanya na bajeti pia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wajuzi wa hili jukwaa mnisaidie, simu yangu betri haliingizi chaji linabaki 1% muda wote. Tatizo nini, na nifanye nini kutatua, je kama ni betri naweza kupata wapi?. Natanguliza shukrani endapo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wataalamu wa hizi app nimejaribu kudownload hii app lakini uingia play store sehemu iliyoandikwa play protect kuna maandishi kwenye hii lucky patcher yameandikwa harmful app sasa ninaomba kujua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Msaada wadau.. simu yangu aina ya samsung galaxy note4 inaleta mushkeri sana. Mwanzon kabisa ilikuwa vzr napata netwk ya kupiga simu na internet kwa ujumla. Ila muda ulivyosogea ikaanza kuleta...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Habari za jioni Wakuu. Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili. Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Wadau za asubuhi. naombeni maarifa yenu namna kufungua smartphone na kupata taarifa ndani yake bila kuathiri kupotea kwa data husika. Najua kina Mkwawa na wengine watatoa msaada humu. Natanguliza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…