TECNO phantom 6 +

alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
5,682
12,143
Wajuzi wa hili jukwaa mnisaidie, simu yangu betri haliingizi chaji linabaki 1% muda wote. Tatizo nini, na nifanye nini kutatua, je kama ni betri naweza kupata wapi?. Natanguliza shukrani endapo ntapatiwa msaada wa namna gani naweza kuiweka sawa.
 
TECNO wana service centre, ukienda huko utapata msaada mzuri. Kama uko DSM nenda NHC building nadhani bado wako pale nilishawahi enda few years back.
 
Asante niko mkoani
 
Nenda kwenye duka lolote la simu wakatoe betri wakuwekee nyingine hiyo imekufa!! betri za phantom 6+ zipo..hata yangu ilikua na shida hiyo hiyo nikabadilisha betri sasa iko njema
 
Nitazipata wapi na linauzwa shilingi ngapi?
 
Unaweza kupata kwenye maduka yoyote ya simu na wanakubadilishia hapo!! Bei ni sh elfu 25 hadi 35 hizo ni original...Maana kuna jmaa wengine ukienda wanaweza wakakuambia hela nyingi kama elfu 70 huko kuwa makini. haziuzwi hivo ni haizidi elfu 35
 
Unatakiwa utumia 2,700 mAh Battery
Charger (Original) uliyonunua pamoja na simu. Ukicharge na charger tofauti na 2700mAh utaaribu Battery yako. HITIMISHO: Kama umepoteza Charge original. Tafuta mtu mwenye charge Original 2700 mAh Charger kama anazo mbili. Ukienda kununua fast charger angalia 2700mAh. NENDA TECNO SHOP KANUNUE Charger. Chunga sana fast charger nyingi za mtaani ni feki.
 
Thanxx
 
Kama uko mwanza nenda rwagasore plaza ghorofa la tatu kwenda juu .kuna customer service for tecno and itel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom