Naomba msaada wa hii simu yangu iPhone 8+

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
653
250
IMG_0305.JPGNi nini shida
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,709
2,000
Mimi naziitaga "SIMU JELA"….....

Najua iPhone users na wenye homa nazo watakuja hapa “ooh we team Tecno" ila fresh tu as long as sizitumii hizo tecno wala hainiumizi akili ila ukweli ndo huu wengi wenye hizo simu zaidi ya kuringia kale ka-logo hakuna kingine wanachofurahi nacho.
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,866
2,000
Ndio wangu
1. Restart simu yako
2. Hakikisha airplane mode iko ''off''
3. Hakikisha ''cellular data'' iko ''on''
4. Hakikisha wi-fi iko ''on'' na simu imeunganishwa (updates nyingine huweza kufanyika kwenye wi-fi tu.) Kama huna wi-fi na unatumia line za kawaida basi idanganye simu yako kama unatumia wi-fi kwa njia ifuatayo: Tumia simu nyingine kama hotspot kwa kuunganisha simu yako kwenye internet kwa kutumia hiyo simu nyingine.
5. Subiri ujaribu tena baade, inawezekana servers za apple ziko bussy hasa kunapokuwa na updates mpya na watu wengi wanajaribu ku access kwa pamoja
 

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
653
250
Unatakiwa uwe na Gb zaidi ya tano....hakikisha internet sio ya wasi wasi yani internet haiyumbi...kisha bonyeza kwenye hilo neno try...kitendo hicho kifanye data ikiwa on

Kwenye simu yangu ama ninayo takiwa kuitumia kwaajili ya wi fi

Manake ni lazima kutumia wi fi Idd Seif
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom