Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Habari za jioni Wakuu.
Kama mada inavyosema hapo juu naomba msaada wa jambo langu hili.
Katika mizunguko ya kazi leo nimelikuta hili. Kuna compressor moja imetengenezwa sasa baada ya kutengenezwa ikachergiwa na kuwekwa na oil kabisa.
Sasa wakati inatembea baada mja mchache inakua overheating katika heads zake.
Hii inasababishwa na kitu gani?
Compressor nnayoiongelea hapa ni reciprocating/piston compressor.